Milipuko kadhaa ya mabomu imetikisa mji wa Maiduguri katika jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na kusababisha ...
Tarehe 4 Oktoba mwaka 1920, ripoti ilitokea katika gazeti la Uingereza la 'The Globe' yenye kichwa cha habari 'Paris Bandia: Mpango wa Ufaransa kuwahadaa wavamizi wa Ujerumani. Kichwa cha ripoti ...
Ukitembea kwenye mtaa mkuu wa mji wa Hamtramck huko Michigan nchini Marekani unahisi kama unafanya ziara ya dunia nzima. Duka la soseji na duka la kuoka mikate kutoka Mashariki mwa Ulaya likiwa kando ...
Hofu inaongezeka katika baadhi ya maeneo katika wilaya ya masisi huko kivu kaskazini, baada ya waasi wa M23 kutangaza mwishoni mwa wiki kwamba wameudhibiti mji mdogo wa Shasha unaoiunganisha miji ya ...
Jeshi la Sudan Kusini, limetangaza kuuchukua tena Mji wa kimkakati wa Akobo ulioko kaskazini mwa jimbo la Jonglei kutoka kwa wapiganaji wa upinzani baada ya kuanzisha mashambulio yake ya wiki hii. Kwa ...