Maelezo ya sauti, Mzee wa miaka 78 ajiunga na darasa la kwanza Tanzania 24 Aprili 2017 Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, na elimu siku zote haina mwisho. Nchini Tanzania mzee wa ...